{"id":1181275,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181275/?format=json","text_counter":315,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Mimi pia nimekuwa hapo na kusema ukweli, wale Wakenya niliowapata -kwa sababu kusema kweli Airport ya Doha ni ya Wakenya- kila mtu anakuonyesha furaha. Ilibidi niulize kama ni airport ya Wakenya au wameajiriwa."}