{"id":1181279,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181279/?format=json","text_counter":319,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Tuliambiwa mama mboga na vijana wote watasaidiwa na pia kuna mambo ya “bottom-up.” Serikali hii imepewa nafasi ionyeshe ubingwa wa kupea vijana wetu kazi."}