{"id":1181281,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181281/?format=json","text_counter":321,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Bi. Spika wa Muda, hili ni jambo la unyama na kusikitisha. Tunaomba Serikali ya Kenya na ya Saudi Arabia zitatue haya mambo. Pia, tuone wale waliotendewa unyama wakirudishwa au kulipwa fidia."}