{"id":1181384,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181384/?format=json","text_counter":63,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":" Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza nataka kuzungumzia juu ya hii Petition ambayo imeletwa ya kusema kuwa mshindi anachukua kila kitu katika mambo haya ya Serikali."}