{"id":1185990,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185990/?format=json","text_counter":235,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"unaenda hadi kwenye kata ndogo na zinainishwa. Iwapo kuna eneo fulani la Kaunti ya Kakamega lenye umasikini, hilo eneo linachukuliwa na kupewa hela za kutengwa."}