{"id":1186845,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186845/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Suala la ardhi ni donda sugu sana katika nchi yetu. Mwaka uliopita katika Kaunti yangu ya Kwale kulitokea mkasa mkubwa sana kama huu ambapo hata wiki iliyopita niliukemea sana hapa Bungeni."}