{"id":1192095,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192095/?format=json","text_counter":112,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":"Bw. Spika, Seneta wa Mombasa anajua hii kilimo ndio imewezesha watu wake wafaulu. Hio pesa inayodaiwa inachukuliwa na serikali ya Kaunti ya Mombasa kwa kiwango kikubwa sana. Naomba nimfahamishe kwamba m iraa siku hizi ni mmea kama kahawa, miwa, majani chai, korosho na mnazi. Asiharibu mmea unaotulea huko Meru sababu Miraa na"}