{"id":1192123,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192123/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, kushika nyumba ni neno la kistaarabu linalomaanisha kwamba wameshindwa kustarehe na wake zao. Ukiniambia kustarehe ni nini, ni bwana kumuingilia mke wake wa halali ama yule kimada ambaye yuko naye."}