{"id":1192795,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192795/?format=json","text_counter":143,"type":"speech","speaker_name":"Makueni Kaunti, WDM","speaker_title":"Mhe. Rose Mumo","speaker":null,"content":"Ninawashukuru watu wa Makueni kwa kunipatia nafasi ya kuwafanyia kazi kwa awamu ya tatu. Ninawashukuru kwa maana hawaangalii maumbile, bali wanaangalia kazi tunayoichapa. Asante pia kwa Mhe. John Kiarie. Ninashukuru."}