{"id":1194776,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194776/?format=json","text_counter":91,"type":"speech","speaker_name":"Mathare, ODM","speaker_title":"Mhe. Anthony Oluoch","speaker":null,"content":" Asante, Mhe. Spika wa Muda. Nilichotaka kuweka wazi ilikuwa kwa Mbunge wa Dagoretti wakati alikuwa analeta hoja ya nidhamu kwa Mhe. Nyikal. Nilitaka kumfahamisha rafiki yangu, Mhe. KJ, kwamba Mhe. Nyikal amejaribu sana. Unajua ‘Kiswahili sio mdomo chetu,’ vile tunavyosema kwa Kijaluo. Ndilo nilikuwa nataka kumfahamisha."}