{"id":1194793,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194793/?format=json","text_counter":108,"type":"speech","speaker_name":"Spika wa Muda (","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mhe. Martha Wangari): Asante sana. Waheshimiwa Wabunge, ningependa kuwatambua wanafunzi na waalimu wa Makini School kutoka eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, Kaunti ya Nairobi, ambao wameketi kwenye Public Gallery . Kwa niaba yangu na ya Bunge la Taifa, nawakaribisha watazame shughuli za Bunge ukumbini. Nitampa nafasi Mbunge wa Likoni, Mhe. Mishi Mboko."}