{"id":1194827,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194827/?format=json","text_counter":142,"type":"speech","speaker_name":"Endebess, UDA","speaker_title":"Mhe. (Daktari) Robert Pukose","speaker":null,"content":"Sitaki kusema mengi sana. Namshukuru Mhe. Yusuf Hassan kwa kuleta Hoja hii. Natarajia kwamba ataenda zaidi ya hapo na kutengeneza Mswada ambao tutaujadili na"}