{"id":1194905,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194905/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Ilani","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kuinuka. Ni yule ambaye amekaliwa ama kufinyiliwa na wakoloni Waafrika wanaosema wanaelewa Kiingereza tu. Wakati umefika tupendane, tusikizane ili tuwe kitu kimoja kama Wakenya."}