{"id":1194917,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194917/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Spika wa Muda","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Mhe. (Dkt.) Rachael Nyamai): Ahsante Mheshimiwa. Tunapoendelea, ningependa kuwajulisha kwamba tuko na wanafunzi kutoka shule zifuatazo: Mugunda Girls High School, eneo Bunge la Kieni, Nyeri County; Nginda Girls High School, eneo Bunge la Maragwa, Murang’a Kaunti; St. Angela’s Girls High School, eneo Bunge la Kiambaa, Kiambu Kaunti na St. Regina Nairutia Mixed Secondary School, eneo Bunge ya Nyeri Mjini, Nyeri Kaunti. Karibuni katika Bunge."}