{"id":1194924,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194924/?format=json","text_counter":239,"type":"speech","speaker_name":"Spika wa Muda","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Mhe. (Dkt) Rachel Nyamai): Waheshimiwa Wabunge, naona watu wengi walikuwa na haja ya kuzungumzia Hoja hii, lakini muda ambao ulikuwa umetengewa umeisha. Ningependa kumuita Mtoa Hoja ahitimishe mjadala wake. Mhe. Yussuf."}