{"id":1194925,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194925/?format=json","text_counter":240,"type":"speech","speaker_name":"Kamukunji, JP","speaker_title":"Mhe. Yusuf Hassan","speaker":{"id":398,"legal_name":"Yusuf Hassan Abdi","slug":"yusuf-hassan-abdi"},"content":" Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Kwa sababu ya hamu kubwa imeonyeshwa na Wabunge, ningependa kuomba niwape Wabunge watatu ambao wameniomba wakati mdogo. Hao ni Mbunge wa Nandi, Cynthia Muge; Mbunge Rashid Bedzimba wa Kisauni; Mhe. Julius Sankuli wa Kilgoris; na Mheshimiwa wa eneo Bunge la Masinga. Naomba niwape hao wanne dakika moja moja ili waweze kuchangia."}