{"id":1195406,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195406/?format=json","text_counter":250,"type":"speech","speaker_name":"Kaloleni, ODM","speaker_title":"Hon. Paul Katana","speaker":null,"content":"kupata Habari kuhusu suala lolote kule mashinani, mtu wa kwanza anayetafutwa ni mzee wa mtaa. Hata hivyo, wazee wa mitaa hawakutambuliwa na Serikali zilizopita."}