{"id":1195407,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195407/?format=json","text_counter":251,"type":"speech","speaker_name":"Kaloleni, ODM","speaker_title":"Hon. Paul Katana","speaker":null,"content":"Serikali hii imesema muundo msingi wake ni kuanzia chini kwenda juu. Tunaomba Serikali hii iweze kuwatambua wazee wa mitaa na iangalie ni kiwango gani wanaweza kulipwa ili waweze kuhudumia wananchi."}