{"id":1198111,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198111/?format=json","text_counter":166,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, ni sawa. Nikimalizia, tunapoongea mambo ya janga la njaa, mkumbuke Kaunti ya Embu kuna njaa. Tuangalie jinsi tunaweza kuchimbiwa mabwawa ili tuweze kuwa na kilimo kizuri."}