{"id":1198432,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198432/?format=json","text_counter":69,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Bi. Spika wa Muda, kwa kumalizia, ningependa kuhimiza wafanye haraka kwa sababu kuna wagonjwa, wafanyabiashara na watu tofauti tofauti wanaohitaji huduma za feri . Nasisitiza kuwa Serikali inafaa kuchukua hatua mwafaka haraka iwezekanavyo."}