{"id":1200496,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200496/?format=json","text_counter":248,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, sidhani kama hoja ya nidhamu ya Seneta wa Laikipia inashiria ukosefu wowote wa nidhamu wangu."}