{"id":1200499,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200499/?format=json","text_counter":251,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, nimesema upande wa ‘walio wengi wachache’, kwa sababu inajulikana wazi kwamba chama cha Sen. Ali Roba na wenzake bado kiko ndani ya Azimio la Umoja one Kenya Alliance. Hicho ni kitu kinachojulikana wazi. Nikimalizia, ningependa---"}