{"id":1201402,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201402/?format=json","text_counter":482,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"ndio ilipita. Kwa hivyo, letu kama Bunge ni kuangalia namna tunaweza kushikilia serikali ili watimize yale ambayo waliahidi wananchi katika ruwaza yao."}