{"id":1201413,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201413/?format=json","text_counter":493,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Kufungwa huku kwa biashara na kuwapa nafasi Kenya Airways pekee ni ‘ monopoly’ . Inalemaza uchimi wa Kaunti za pwani. Malindi vile vile ina kiwanja cha ndege ambacho ni cha kiwango cha kimataifa kinacholemaa kwa sababu hiyo. Uwanja wa ndege wa Eldoret kule Uasin-Gishu una ndege nyingi za mizigo. Watu wengi wanapeleka mizigo yao kupitia kule kwa sababu ni rahisi kufanya clearance na kuchukuwa mizigo yao."}