{"id":1201416,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201416/?format=json","text_counter":496,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Lazima watu wawekeze katika Uchumi Samawati. Unaweza kutuletea utalii na biashara ya samaki, kawi ya upepo wa bahari na vile vile mafuta na vitu vingine ambavyo vinapatikana katika bahari hii."}