{"id":1201474,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201474/?format=json","text_counter":554,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Rais alizungumzia maswala ya mbolea. Hapo awali, bei ya mbolea ilikuwa Kshs6,000, lakini hivi sasa ni Kshs3000. Watu vijijini wamepata mbolea hiyo. Kwa hivyo, Rais anafanya kazi nzuri uongozini."}