{"id":1201475,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201475/?format=json","text_counter":555,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Pia alizungumzia maswala ya shule. Rais alisema kuwa kuna watu walienda kortini kuomba mambo ya National Government - Constituency Development Fund (NG-CDF) yaishe. Hiyo ilifanya watoto wengine kutoenda shule. Lakini, Rais alisisitiza kuwa"}