{"id":1201478,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201478/?format=json","text_counter":558,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ninashukuru Rais kwa sababu kama Maseneta hatuna pesa za kuangalia kazi ambazo magavana wanafanya. Lakini, amesema kuwa atahakikisha tumepata pesa za kuweza kuangalia miradi inayofanywa na kaunti."}