{"id":1201479,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201479/?format=json","text_counter":559,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kama mwakirishi wa wananchi wa Embu Kaunti, tunaunga Rais mkono. Asante, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo atubariki ili tuweze kukaa na imani ya Bwana. Asante, Bw. Spika wa Muda."}