{"id":1203769,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203769/?format=json","text_counter":222,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":", hatuna haja ya kuwa na mtu ambaye hana haja na sisi. Kwa sasa, hao bado ni wanachama wa Azimio-One Kenya Coalition Party na lazima wabaki ndani ya Azimio-One Kenya Coalition Party mpaka wakati utabatilishwa. Bw. Spika, swali hili liliulizwa mapema na Sen. (Prof.) Tom Ojienda, SC. Swala hili lilipozungumziwa, tulilichukulia kama minongono. Sen. Cheruiyot ndiye Seneta mnongono."}