{"id":1208739,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208739/?format=json","text_counter":514,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, ninaunga mkono Hoja hii ya kuunda Kamati ya kuchunguza madai dhidi ya Gavana Kawira. Kama wanaume, tunamheshimu Gavana Kawira. Hata hivyo na yeye pia aheshimu wanaume."}