{"id":1208745,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208745/?format=json","text_counter":520,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, hatuko hapa kwa sababu ya mama ama baba. Tuko hapa kama masenata. Ile kamati itaenda kuangalia suala hili--- Gavana Kawira alichaguliwa na watu wote. Hakuchaguliwa kwa sababu watu walikuwa independent ama gani. Alichaguliwa juu ya leaders wote."}