{"id":1209262,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209262/?format=json","text_counter":97,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, hiyo ni siasa. Ningependa nikiyazungumza mambo haya, Sen. (Dr.) Khalwale awe hapa kwa kuwa alijipiga kifua sana kwamba anachukua kiti cha Kaunti ya Bungoma. Lakini, nafikiri ‘alilamba lolo’ na tutayaachia hapo kwa sasa."}