{"id":1209412,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209412/?format=json","text_counter":247,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, kuenda mbele, tunafaa kuangalia kama tunaweza kurekebisha sheria ili kabla ya watu kuenda katika maswala ya kubanduliwa uongozini, kuwe na taratibu zinazofatwa Kwa mfano, waweze kupitia tume ya"}