{"id":1209573,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209573/?format=json","text_counter":43,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bw. Spika, tuko na mwenzetu, Seneta aliyechaguliwa ameingia na kuapishwa. Kama ilivyo kawaida yetu, nafikiri ingekuwa muhimu kwetu kwanza tuweze kumkaribisha na kumpa kongole yake kubwa kwa sababu alishiriki katika"}