{"id":1209745,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209745/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" What is your point of order, Sen. Kinyua? Sen. Kinyua: Bw. Spika, sio ati ninadharau hili jopo la wanasheria. Nilisema nchi hii ya Kenya iko na watu wengi katika taaluma mbalimbali. Kwa hivyo, Sen. Omogeni"}