{"id":1209995,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209995/?format=json","text_counter":187,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Mwenyekiti wa Muda, ningependa kumkumbusha Sen. Mundigi ya kwamba hatujafikia wakati wa kupiga kura. Tunajadili mapendekezo ya mabadiliko yaliyopendekezwa na Sen. Mumma. Pili, hakuna majina yaliyopendekezwa."}