{"id":1210009,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210009/?format=json","text_counter":201,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Sen. (Dr.) Khalwale, keti chini. Tuliza boli. Ni rahisi kwa Mhe. Rais kuwashawishi wanaofanya kazi katika tume ya hiyo kwa sababu ni wafanyi kazi wa Serikali."}