{"id":1210039,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210039/?format=json","text_counter":231,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Chairperson","speaker":null,"content":" Kiongozi wa Wachache, nafikiri tulimwona Sen. Cheptumo vizuri. Alikuwa amevaa korti ambalo halina kola lakini alikuwa amefunga kitufe cha juu. Watu huwa wanavaa hivyo."}