{"id":1210382,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210382/?format=json","text_counter":161,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, tuko Maseneta 67 katika Seneti hii. Nataka kumkosoa Seneta kwamba hiyo sio mambo ya Kenya Kwanza, ni mambo ya mtu binafsi. Kama mtu amevaa vibaya, sio Maseneta wote wa Kenya Kwanza wamevaa vibaya."}