{"id":1211172,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211172/?format=json","text_counter":169,"type":"speech","speaker_name":"Emurua Dikirr, UDA","speaker_title":"Hon. Johana Kipyegon","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii. Ikifika wakati wa kuunda hii sheria, sisi tutakuwa hapa. Tutamsaidia Rais na wananchi wa Kenya kuunda hii sheria. Ahsante."}