{"id":1213144,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213144/?format=json","text_counter":496,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Ningependa kuwarai mawaziri wa kilimo na serikali za kaunti kwamba sisi kama Bunge la Seneti tutamulika hawa watu na “kuwapuliza doom” kuhakikisha kwamba pesa za Kaunti zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria."}