{"id":1213302,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213302/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wakoli","speaker_title":"","speaker":{"id":208,"legal_name":"Sylvester Wakoli Bifwoli","slug":"wakoli-bifwoli"},"content":"Ni kinaya na kejeli kwamba Serikai ina mkataba na wahudumu madaktari kutoka Cuba ambao kwa mwezi mmoja, daktari mmoja anatukamua sisi Wakenya million moja"}