{"id":1215665,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215665/?format=json","text_counter":93,"type":"speech","speaker_name":"Taita Taveta County, UDA","speaker_title":"Hon. Haika Mizighi","speaker":null,"content":"Asante sana, ndio hao mnaowaona. Kina mama hi ! Asante sana. Hili ni dhihirisho kuwa ipo haja Bunge la Kenya kutambua mavazi na mitindo yetu ya Kiafrika na Kikenya."}