{"id":1216339,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216339/?format=json","text_counter":96,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Lile vazi alilovaa Sen. Chimera sio vazi ambalo linakubalika kulingana na Kanuni zako. Kama lingekuwa ni vazi la kienyeji, tungeweza kumsamehe. Suti ya Kaunda sio vazi la Kiafrika."}