{"id":1216611,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216611/?format=json","text_counter":368,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Walituambia ya kwamba, ukiangalia katika Ibara ya 27 ya Katiba, inasema ya kwamba; hupaswi kumzuia mtu yeyote ama huwezi kuwazuia watu kufanya vile wanavyotaka kuungana. Ijapokuwa Ibara ya 36 ya Katiba ya Kenya inasema ya kwamba inakubalisha miungano yoyote."}