{"id":1218815,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218815/?format=json","text_counter":340,"type":"speech","speaker_name":"Magarini, ODM","speaker_title":"Hon. Harrison Kombe","speaker":null,"content":"Upatikanaji wa hospitali pia ni jambo la kusikitisha. Ili upate hospitali katika maeneo haya, lazima utembee mwendo mrefu zaidi. Serikali iwafikirie na iwajengee hospitali ili nao wajihisi ni Wakenya."}