{"id":1218836,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218836/?format=json","text_counter":361,"type":"speech","speaker_name":"Baringo South, UDA","speaker_title":"Hon. Charles Kamuren","speaker":null,"content":"Kwanza, ninamshukuru sana Rais wetu na Serikali kwa jumla kwa yale yanayoendelea katika maeneo haya. Juzi, baada ya kukutana na viongozi wa maeneo-bunge hayo, alitoa amri ya kuwa wale watu wetu ambao wanahangaika, wapate kushughulikiwa. Baada ya hiyo, kulifanywa g azettement ya operesheni inayoendelea."}