{"id":1219436,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219436/?format=json","text_counter":58,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kama kuna mtu ananyanyaswa katika Kenya ni mwalimu. Walimu wanapatikana vijijini, kanisani, shuleni na kila pahali. Walimu wanakumbwa na shida wanapoenda"}