{"id":1219606,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219606/?format=json","text_counter":228,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Khalwale","speaker_title":"","speaker":{"id":170,"legal_name":"Bonny Khalwale","slug":"bonny-khalwale"},"content":"Bw. Spika wa Muda, huu mjadala ni muhimu kwa sababu yote tunayozungumza hapa yanawekwa katika rekodi. Kwa hivyo, ninaomba ndugu yangu, Sen. Cherarkey, akubali. ‘ Conception’ ni wakati mbegu ya mwanamume inaungana na ya mwanamke katika nyumba ya uzazi."}